Log inLog Out
For YouNewsEntertainmentRelationshipLifestyleBusiness
Ukistaajabu Ya Musa…! Mama Akiri Kufanya Mapenzi Na Sokwe (Chimpanzee) Na Kuzaa Naye

Bertillar

Nov. 15, 2019

Mwanamke mmoja amewashangaza wengi kule nchini Angola baada ya kukiri kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na sokwe.
Mwanamke huyo ambaye alikuwa katika hali mahututi alifichua kuwa mwanaye, mwenye umri wa miaka 12, ni matokeo ya mapenzi hayo.
Inadaiwa kuwa mwanamke huyo alikuwa mfanyikazi katika mbuga ya kuhifadhi wanyama kule Angola na kuishia kuwa na uhusiano wa kimapenzi ambapo alipata ujauzito na kumzaa motto huyo mwenye maumbile yasiyo ya kawaida.
Mtoto huyo sasa anaishi na mjombake kule Luanda baada ya mamake kuaga dunia.
Hata hivyo wanasayansi wanapinga madai hayo.
Uhusiano wa kimapenzi kati ya sokwe na wanadamu umenoga sana katika sehemu hiyo, afisa mmoja alisema.
Join SCOOPER COMMENTS CAMPAIGN From 11th Nov to 18th Nov 2019
WIN the latest Infinix S5 by Commenting, Sharing and Inspiring most LIKES on your comment!
0
Comments
Sign in to post a message
You're the first to comment.
Say something
Recommend
Log in