Log inLog Out
For YouNewsEntertainmentRelationshipLifestyleSportTechnology
‘Kuna wakati nilikuwa nalala kwa kiti tulipokuwa tunakosana,’ Nameless afichua

Yusha

July. 11, 2020

Hata kama wengi huwaona wakiwa wanandoa kamili, pia nao hupitia changa moto si haba, Nameless amesema kuwa kuna wakati amelala kwenye kiti endapo atakosana au kugombana na  mkewe Wahu.
Msanii Nameless alisema kuwaa si mara moja au mbili.
Akizungumza kwenye mitandao ya kijamii ya youtube alikuwa na haya ya kunena,
“YOU KNOW MC JESSY, LET US TELL PEOPLE THE TRUTH.THERE ARE TIMES I HAVE SLEPT ON THE COUCH AND IT REALLY HELPS THE MARRIAGE. AT TIMES YOU NEED TO TAKE TIME OUT.” Alisema Nameless.
Nameless aliwashauri wanaume kuwa wanapaswa kuwa makini endapo wataanza kununua bidhaa za nyumbani,
“Jambo moja naweza kuwashauri wanaume ni kuwa kama wana nunua faniccha za nyumbani mwao wanapaswa kuwa makini kabisa
Hakikisha umenunua kiti ambacho utatumia kama kitanda siku moja, mambo yanapoharibika kwenye chumba cha kulala utatumia kiti hicho kama kitanda si mara moja wala mara mbili.” Alizungumza.
0
Comments
Sign in to post a message
You're the first to comment.
Say something
Recommend
Log in