Back
‘ Walisema baba ya mtoto wangu ni MCA na Watchman’ Awinja atoa sababu za kumficha mtoto wake
Aug 11, 2020
Jacky Vike aka Awinja  ni  mama anayempenda sana mtoto wake Mosi. Muigizaji huyo  hata hivyo hajawahi kuonyesha sura ya mwanawe  katika  mitandao ya  kijamii  na katika mahojiano na  MC Jesse alisema sababu moja ya kutofanya hivyo ni  vijembe vya mitandaoni ambavyo watu hupenda kufanya kuhusu maisha ya watu na kuwashambulia .
Toto saafi! Picha za muigizaji Maria akiwa amejipodoa zawazuzua wakenya
‘…WATU WANAANZA KUMWAMBIA NI MU UGLY. THEN I’M LOOKING AT IT VILE HATA YEYE HATAJUA BUT SIDHANI KAMA NAWEZA KUWA NA HIYO PATIENCE YA KUTOLERATE SUCH COZ I’LL INSULT YOU SO I’M AVOIDING THAT.
Awinja  alisimulia jinsi  watu walivyomhuisisha na msururu wa wanaume wakati alipokuwa mja mzito
NILIWEKELEWA WATU KAMA EIGHT MPAKA MCA WA HUKO USHAGO KWETU HATA SIJAWAHI JUA ANAEXIST MPAKA NIKAMWONEA HURUMA. MPAKA KULIKUWA NA WATCHMAN.
Muigizaji  mwenzake  Wilbroda alichangia  kuhusu hilo akisema ;
‘ mitandao ya kijamii ni kama ushetani .. imetusaidia sana lakini kuna mabaya mengi ndani yake  .nahisi kuanza kumueka mtoto wake katika mitandao ya kijamii akiwa mdogo sio jambo zuri . lazima nipate idhini yake .
Ukahaba mambo leo:Sugar daddies 4 na kila mtu anajua siku yake-Mwanamke asimulia
Aliongeza
hebu fikiria mtu akisema kwamba mtoto wako ana sura mbaya? wakati mwingine hapo awali mtu aliwahi kusema hivyo baada ya picha tuliochukua katika hafla moja kusambazwa .
1Shares
0Comments
0Favorites
2Likes
Say something to impress...
Loading...
Comments
Hot

No content at this moment.

Relevant people
Radio Jambo
8465 Followers
The best live radio stations from Kenya
Related