Back
Size afikisha mashabiki millioni,2, kwenye mtandao wa instagram huku akisherehekea siku yake ya kuzaliwa
Aug 5, 2020
Msanii wa nyimbo za injili Linet Munyali huku akifahamika kama Size 8, alifikisha mashabiki millioni mbili waonomfuata kwenye mitandao yake ya kijamii ya Instagram huku akisheherekea siku yake ya kuzaliwa mnamo,04 Agosti ma kufikisha miaka 33.
Kupitia kwenye mitandao ya kijamii Size 8 aliwashukuru mashabiki wake kwa kumwezesha kufikisha nambari hiyo.
‘Punguza makeup!’Mashabiki wamkosoa Size 8 huku DJMo akimtetea
“Mashabiki millioni,2, wanaonifuta utukufu humrudie mwenyezi Mungu HALLELUJAH!! hakuna mwanadamu anyepokea kitu kama si kwa ajili ya mwenyezi Mungu Jona 3:27 asanteni nyote.” Aliandika Size 8.
Size 8 amejiunga na wasanii kama vile Bahati Akothee  na Eric Omondi ambao ni wasanii wachache wa humu nchini ambao wanamashabiki wanao wafuata zaidi ya million mbili.
Pia kupitia kwenye mitandao hiyo Size akisherehekea siku yake ya kuzaliwa alisema kuwa amemuona Mungu akimuinua kutoka mavumbini hadi kumweka juu.
‘Hapa ni enjoyment tu!’ Size 8 afutilia mbali madai kuwa mambo hayako sawa kati yake na mumewe
Msanii huyo alisema kuwa Mungu amekuwa akimshika mkono kwa yote ambayo amekuwa akipitia, kwa kuwa mgonjwa,kusongwa na mawazo na hata kukumbana na kifo lakini Mungu amemrehemu.
“Leo ni siku yangu ya kuzaliwa wow mtazamenu Yesu!!!yani guys wacha nitoe ushuhuda, mimi ni yule dame wa Ksouth nimeona Mungu akiniinua kutoka kiwango kimoja hadi kingine
0Shares
0Comments
0Favorites
0Likes
Say something to impress...
Loading...
Comments
Hot

No content at this moment.

Relevant people
Radio Jambo
8465 Followers
The best live radio stations from Kenya
Related