Back
Tunda Ataja Chanzo ‘Mapele’ Miguuni
Jul 5, 2020
BAADA ya picha zinazomu-onesha kuwa na vipele miguuni kuzua gumzo mitandaoni, muuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ ametaja chanzo cha vipele hivyo.
Akizungumza na Risasi Jumamosi, Tunda alisema kuwa vipele alivyovipata mguuni, vimetoka na ‘aleji’ aliyoipata kwenye samaki, lakini anashangaa watu kumjadili kupita kiasi mitandaoni.
“Kinachonishangaza mtu anasambaza kabisa picha yangu ikionyesha miguu yangu ina makovu, kwani hapo kuna shida gani au kuwa na makovu kwangu sistahili, na ukweli kwamba nilipata aleji ya samaki na hata sio mara ya kwanza kunitokea, niacheni jamani,” alisemaTunda.
Stori: Imelda Mtema
0Shares
0Comments
0Favorites
0Likes
Say something to impress...
Loading...
Comments
Hot

No content at this moment.

Relevant people
Mseto
18580 Followers
Taarifa kwa utendeti
Related